mwacha255
karibuni wateja, huduma bora, nguo quality
20/04/2026
23/01/2026
250000
0678333485
16/06/2025
Ni arusha maeneo ya nbc bank mbele ya little more
27/08/2024
hivi vyote vinapatikana kwa Mr uk Arusha
22/08/2024
13/02/2024
Vijana Tumsifu Yesu Kristo!
Mama Kanisa 💒 siku ya Kesho ulimwenguni kote ataadhimisha Jumatano ya Majivu ✍️ Ambayo ndiyo mwanzo wa Kipindi Cha Kwaresma 🌝 Karibuni Sana tuone baadhi ya Mambo kuhusu Jumatano ya Majivu.
💜Jumatano ya majivu ni mwanzo wa kipindi cha kwaresima katika kanisa. Ni ishara ya kuanza kwa siku arobaini za kutafakari kwa undani fumbo kuu la upendo wa Mungu linalofunuliwa kwa kujitoa kwake na kufa msalabani, kifo cha aibu ili kuichukua aibu yetu.
💜Mama kanisa anatupatia kipindi hiki ili tuweze kutafakari njia na mienendo yetu😔
📌 *Kwanini Sasa Tunapakwa Majivu?*😊
💜Majivu ni ishara ya majuto, nayo hufanywa visakramenti kwa kubarikiwa na kanisa.
💜Tunapopakwa majivu katika paji la uso hutusaidia kutafakari na kutukumbusha kuwa wanadamu sisi tu mavumbi na mavumbini tutarudi. Hutukumbusha zaidi kuwa maisha ya hapa duniani tunapita na safari yetu itakamilika pale tutakapoungana na Bwana na mwokozi wetu katika ufalme wake😊
💜Soma; Isaya 61:3, Ester 4:1-3, Yeremia 6:26, Ezekieli 27:30, Mathayo 11:21 na Luka 10:13
📌 *KWA* *NINI* *MAJIVU* *YAPAKWE* *KATIKA* *PAJI* *LA* *USO* *NA* *SI* *PENGINEPO* ?
💜Ishara yoyote iwekwayo katika paji la uso huonesha umiliki (soma Ufunuo 7:3, Ufunuo 9:4, Ufunuo 14:1, Ezekieli 9:4-6, ).
💜Tunapochorwa ishara ya msalaba katika paji la uso ni ishara kwamba sisi tupo chini yake yeye aliyekufa msalabani kwa ajili yetu.
💜Hali kadhalika hutukumbusha ishara ya msalaba tuliyochorwa na mafuta matakatifu siku ya ubatizo wetu, hutukumbusha ahadi tuliyoiweka siku hiyo ya ubatizo na kutuita tuishi maisha ya utakatifu
📌 *MANENO* *ANAYOTAMKA* *PADRE* *YANA* *MAANA* *GANI* ?
💜Tunapopakwa majivu Padre husema; *Mwanadamu kumbuka u mavumbi na mavumbini utarudi AU Tubuni na kuiamini Injili.*
💜Maneno haya kwa upande mmoja hutukumbusha tunapoelekea, tusisikitike kwamba siku moja tutarudi mavumbini bali tuwe na furaha kwani wakati miili yetu unarudi mavumbini roho zetu zitakwenda kuungana na Mungu Baba mbinguni.
*📌MAJIVU HUTOKA WAPI?*
💜Majivu tunayopakwa hutoka katika matawi yaliyotumika katika jumapili ya matawi ya mwaka jana.
💜Majivu haya hubarikiwa na kuwa visakramenti. Hivyo majivu yanapoashiria toba
12/02/2024
Kula kitu Cha Moto upande wa karatu tupo mjini kwa mawasiliano waweza kutupa kwa kupiga simu kutuma sms au WhatsApp
Vile vile tunauza vitoto vya nguruwa kwa wafugaji na kutoa ushauri pia
27/01/2024
HAPPY BIRTHDAY MH SSH
TUNAMSHUKURU KQA AJILI YAKO NA TANZANIA YETU
Pokes upendo wa dhati kutoka kwenye mioyo ya WATANZANIA
11/11/2023
Skywood sound bar bei nzuri karibu
Click here to claim your Sponsored Listing.