Aneth Online Shop
Tunauza Handbags,Tshirts,Shirts na Shoes Original vyenye muonekano mzuri kwa bei nafuu. Tunapatikana Arusha,eneo la Kimandolu Hardware.
Delivery ipo kwa Arusha,mikoani na nchi zingine tunatuma kwa uhakika na usalama. Tupigie/whatsapp +255742708076
30/10/2021
Pochi nzuri sana
25,000/= Tu
Pochi yoyote ni tsh 28,000/=
27/10/2021
Kesho tunafungua duka letu la mapochi,tshirts na viatu
Kila Pochi yoyote itauzwa kwa 28,000/=Tu
Kila Tshirts na Shati lolote bei itakua ni 15,000/=Tu
Delivery ipo Arusha
Mikoani tunatuma kwa usalama na uhakika
Tutapatikana Arusha,mtaa wa Kundayo Hardware. Barabara ya Arusha-Moshi
Kwanzia saa 2:30 asubuhi mpaka saa 2:30 usiku tutakua open
Karibu sana
Call/whatsapp 0742708076/0757398900
27/10/2021
11/10/2021
Pata Pochi,Tshirt na Mashati ya k**e na kiume Original ,nzuri na zenye muonekano bomba kwa bei nafuu sana. Utapata kwa bei ya Jumla na Rejareja. Tunapatikana Arusha,stand kubwa ya mabus ya mkoani. Delivery ipo kwa mkoa wa Arusha. Na mikoani tunatuma kwa usalama na uhakika
Tupigie/whatsapp +255742708076
11/10/2021
Pata Pochi, Mashati na Tshirts Kali na original zenye muonekano mzuri kwa bei nafuu. Unapata bidhaa kwa bei ya Jumla na Rejareja
Tunapatikana Arusha,stand kubwa ya mabus ya mkoani,barabara ya moivo📍
Tupigie/whatsapp +255742708076/255757398900
04/10/2021
Pata Mossimo Original
Size 36,37,38,39,40,41,42
Jumla 20,000/=
Rejareja 23,000/=
Tupigie/whatsapp 0742708076
Tunapatikana Arusha stand ya mabus ya mkoani
Pata Mossimo Original
Size 36,37,38,39,40,41
Jumla 20,000/=
Rejareja 23,000
Piga/whatsapp 255742708076
Tunapatikana Arusha,stand kubwa ya mabus ya mkoani
01/10/2021
Pata Mossimo Original 23,000/=
Size 36,37,38,39,40,41,42
Jumla 20,000/= kwanzia 3pcs
Call/text 0742708076
Tunapatikana Arusha stand ya mabus ya mkoani. Delivery tunafanya kwa Arusha,mikoani tunatuma kwa usalama na uhakika
Karibu sana
Click here to claim your Sponsored Listing.