GIFTY

GIFTY

Share

karibuni sana wateja wangu wazuri tukuhudumie, tupo kwa ajili yako. Ofisi zetu ziko samunge na mbauda

tunauza mchele aina zote, maharage aina zote, karanga aina zote, dengu, kunde, choroko, mbaazi, njugu mawe, vitu vya lishe na kila aina ya nafaka.

21/04/2026

Strong wealth exprience, Asante ana mwl KELVIN KIBENJE kwa somo zuri sana. kati ya vitu vinavyoclick kwenye akili yangu mpaka sasa, ni sentence ya mwl " UNAPOJIKADILIA JIKADILIE PAKUBWA" yapo mengi ila hili limebeba uzito zaidi ya tan 1000. Asante sana YEBEMBA SOLUTION

21/03/2026

Karibuni sana

21/03/2026

Tunatoa huduma za derivary, kwa wateja wetu wazuri, wapendwa tunakuchamnulia kabisa utakachofanya wewe ni kubandika tu

20/03/2026

GIFTY karibuni sana wateja wangu wazuri tukuhudumie, tupo kwa ajili yako.
tunauza mchele aina zote, maharage aina zote, karanga aina zote, dengu, kunde, choroko, mbaazi, njugu mawe, vitu vya lishe na kila aina ya nafaka.
Ofisi zetu ziko samunge na mbauda

05/01/2026

From the shamba to the table

17/11/2025

Pumzika Kwa amani, da?!!! 😭😭😭😭😭

Mhubiri 3
1 Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.

2 Wakati wa kuzaliwa, na wakati wa kufa; Wakati wa kupanda, na wakati wa kung'oa yaliyopandwa;

3 Wakati wa kuua, na wakati wa kupoza; Wakati wa kubomoa, na wakati wa kujenga;

4 Wakati wa kulia, na wakati wa kucheka; Wakati wa kuomboleza, na wakati wa kucheza;

10/10/2025
Want your business to be the top-listed Realtor/realty Service in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Arusha