Linus Sports Arena
SISI NI WEWEโ๐ฟโ๐ฟ
KWA MATANGAZO TUTAFUTE KWA NAMBA +255682441983
FOR ADVERTISING CALL +255682441983/255628318183
19/01/2026
๐จSadio Manรฉ, mtu na nusu. ๐จ
Baada ya Morocco kupewa penalti dakika za lala salama, wachezaji wa Senegal na kocha wanaisusia mechi hiyo, lakini Sadio akawataka wote warudi uwanjani kuendelea na mechi.
Kwa heshima yake Walirudi, Mendy aliokoa penalti wanaenda extra time dakika ya 94' kijana mdogo ata mapenzi hayajui Bado ana uvulana wake sio mwingine ni Pape Gueye anafunga mashine ya kukopea mkopo benki bila riba na kufanya Senegal kunyanyua taji lao la pili la AFCON baada ya lile la mwaka 2021 dhidi ya Misri pale Cameroon.
Nakiri Africa imefurahi kuliko kawaida Kwa kuona kitu k**a hiki.
Heshima ya kutosha kwa Sadio!
Mungu mtunze Gueye.
Mungu itunze Senegal.
Mungu itunze Africa.
18/01/2026
THE LIONS OF TERANGA MAKES IT FOR THE AFRICANS.
VIVA SENEGAL VIVA AFRICA AFRICA UNITEโฅ๏ธ
SENEGAL CHAMPIONS OF AFRICA.
SIMBA WA UKARIMU WANAIFURAGISHA AFRICA.
SENEGAL NI MABIGWA WA AFRICA
18/01/2026
Mbona ni k**a hawajabadilika chcht na ni mwaka mpya ๐
FT : Mtibwa 1-1Simba
18/01/2026
Yanga hawapoi Wala hawaboi... anyway Hussein Masalanga kutoka Singida BS ni MWANANCHI ๐๐
๐ ๐ ๐
18/01/2026
Mwamuzi kutoka DR Congo, Jean-Jacques Ndala, ameteuliwa kuwa Mwamuzi wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 kati ya Senegal na Morocco. Awali, Mwamuzi huyo alichezesha mechi ya ufunguzi kati ya Morocco na Comoro ยน.
Waamuzi wasaidizi watakuwa Guylain Ngila na Mwanya Mbilizi, huku VAR akiwa ni Pierre Ghislain.
Simba wa Teranga (Senegal) wanawinda taji lingine la Afrika, wakati Atlas Lions (Morocco) wanataka kunyanyua kombe la AFCON katika ardhi ya nyumbani .
18/01/2026
๐ฅ Shirikisho la Soka Afrika (CAF) linajiandaa kuanzisha Ligi ya Mataifa ya Afrika (African Nations League) mwaka 2029! ๐
Ligi hii kubwa itahusisha timu zote 54 za soka barani Afrika, zikigombana kwa misingi ya kanda. Washindi wa kanda watafuzu kucheza fainali ya mashindano hayo.
Mechi za moto zinazotarajiwa:
- Kenya vs Tanzania ๐ฅ
- Ghana vs Nigeria ๐ฅ
- Egypt vs Morocco ๐ช๐ฌ๐ฒ๐ฆ
- Ivory Coast vs Cameroon ๐
CAF inataka kuandaa mashindano hayo katika nchi moja, wakati wa mapumziko ya FIFA. Hii itawezesha wachezaji bora wa soka barani Afrika kushiriki. Ligi hii inatarajiwa kuleta mapato makubwa na kuongeza ushindani katika soka la Afrika! ๐ช
18/01/2026
๐จChama lako namba ngapi?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Linus Sports Arena posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.