Golden Perfect
Politician | leader | Father | Brand ambassador
22/05/2026
Shetani anaeza Dhani amekuweza kumbe amekufungulia njia ,sasa shetani alidhani amemaliza Samuel na ugonjwa lakini Mungu naye ni nani ,kupitia kwa DAN WEMA. Sai Samuel amefanyiwa MRI na akapanda pia ndege hadi citizen tv kuelezea story yake ,waa kumbe Mungu ni mkuu, Dan wema barikiwa sana man,Samuel imagin anaanza matibabu sasa na Samuel atapona kwa jina la yesu ,
K**a umeona DAN WEMA. Na Lulu Hassan hata wapongeze tu kwa kusaidia mzee wetu ambaye Ameumia kwa miaka mingi sana na uvimbe kwa sehemu zake za Siri ,lakini shetani anaeza Dhani amekuweza kumbe amekufungulia njia
22/05/2026
K**a si neema ya Mungu sasa ningewai patana na Lulu Hassan wapi ,ni kwa neema tu
22/05/2026
tuko hapa citizen sasa mzee wetu anaenda Kufanyiwa MRI , thanks Lulu Hassan na Citizen TV Kenya kwa kuhost mzee ,thanks DAN WEMA. kufikia mzee sasa mwanga unaonekana
22/05/2026
tuko hapa Citizen TV Kenya na DAN WEMA. Ule mzee anaitwa Samuel mwenye Ako na shida ya uvimbe mkubwa kwa sehemu yake ya Siri amekuja hapa kuelezea story nzito ya huzuni ya safari ya ugonjwa wa miaka mingi kabla ya kukutana na apostle Dan wema ,sasa after hapa anaenda kuanza na MRI ,Thanks to Apostle Dan yenyewe Mungu ameonekania mzee
For x-ray services welcome to village of Hope Hospital
Hope Matters International
Nabwera Nabii kuja huku vijana wamesema 2027 inafika lini
17/05/2026
the first thing we should be asking God is to make you own business,run companies and at least be your own boss There is no joy at all working for other people
Village of Hope Hospital
Ambia ule jamaa unapenda
Mmeskia
Nabwera Nabii
16/05/2026
I've just reached 300K followers! Thank you for continuing support. I could never have made it without each and every one of you. 🙏🤗🎉
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Rift Valley