TUKIO

TUKIO

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TUKIO, Digital creator, Stone Town.

12/04/2026

Rubani aliambiwa abebe wagonjwa wa akili (wenda wazimu) kutoka Kenya🇰🇪 kwenda Marekani 🇺🇸. Alikubali na kuwapakia ndani ya ndege yake 🙂. Kila mahali kulikuwa na kelele nyingi.

Baadaye, mmoja wa wagonjwa wa akili alimkaribia rubani na kumwambia: “Tafadhali nifundishe jinsi ya kuendesha ndege?”

Rubani akamjibu: “Nitakufundisha kuendesha ndege ikiwa utawaambia marafiki zako wawache kelele.” 😒
Yule mtu aliye na shida ya akili aliingia ndani. Baada ya dakika chache, kila mahali kukawa kimya k**a malaika aliingia ndani ya ndege. 😌

Baada ya muda, yule mtu alirudi na kumwambia rubani kwamba sasa kila mahali ni shwari. Rubani alifurahi na kumuuliza: “Uliwaambia nini ili watulie?”
Yule mtu aliye na shida ya akili akajibu: “Nilifungua mlango ili waende kucheza nje.”
Rubani alizimia! 🤣🤣🤣😂

10/04/2026

President has hired a Ninja from Japan to protect him

07/04/2026

Hope hii si AI

07/04/2026

Wanandoa hawa ndiyo wanaozungumziwa zaidi kuliko wengine nchini Rwanda.

25/03/2026

Kenya 🇰🇪 is considering deploying the Kenya Defence Forces Navy to es**rt export ships to the Middle East.

Rising regional tensions have reportedly trapped over 600 vessels linked to the country, raising concerns about supply shortages and exporter losses.

Industry Principal Secretary Juma Mukhwana said in a TV interview that the government is evaluating military-backed protection, including es**rted convoys through high-risk waters.

25/03/2026

How to remove this!

Photos from TUKIO's post 24/03/2026

Ladies how far are you willing to go on matters beauty? 🤔
A Cameroonian lady named, Ethel Esima is in comma after a "Tongue slice piercing failed"

Tongue slice piercing is the latest fashion that has been going Viral in Nigeria by most of the fashion ladies, where a woman's tongue is divided into two like that of a "Cobra Snake"

It has however entered Cameroon, the total cost of this surgery is 2.3 million for CFA, Ethel reportedly paid this sum of money and as a result, there was blood over flow which resulted in her being unconscious.

She's currently admitted into the hospital and undergoing treatment despite the fact that the tongue was already divided though the finishing works on her by the Professional was not yet executed.

Related fashionable shows are: ear, nose, ni**le piercing, multiple earrings on a single ear, teeth piercing with gold, leg chains, waste chains..etc.

Many people are asking what prompted the young lady to divide her tongue into two like that of a snake in the name of "fashion" while Others see it as android generation and a modern world society.

UNGODLY ATTRIBUTES!!

23/03/2026

Hollywoodd Actor Came out to pay last respects to Chuck Norris’s - We willl miss you. Who can you see there

23/03/2026

SAD😢,Huyu ni Claire mwimbaji wa SDA mwenye alimwagiliwa Acid kwa uso na Ex Wa Elvis kutoka Nyanza. Taarifa za undani zinasema Elvis alimlipia school fees kutoka highschool hadi ak**aliza university after kukubaliana na Claire atakua second wife,alafu baadae akamuacha kuenda kwa mwanaume mwingine. Elvis hangeweza kuvumulia hio uchungu yote adi amelipisha 🙆, Assume wewe ni judge kwa hii case unaweza toa hukumu gani kwa Elvis??

22/03/2026

Finally reunited with his friend and mentor, Bruce Lee. 🕊️
Rest in peace, Chuck Norris. 🙏

20/03/2026

Wangapi Wanapenda Huyu jamaa? 😍😍😍🇹🇿

06/03/2026
Want your business to be the top-listed Media Company in Stone Town?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Culinary Team

Attire

Address

Stone Town
WESTERN