Kauthar RUQYA Centre
TIBA YA QURAN NA SUNNAH DHIDI YA MAJINI NA UCHAWI
06/08/2023
Amesema mtume : Mwenye kuswali nyakati mbili za baridi ataingia peponi yaani swalatul asr na fajr
12/07/2023
As Salaam Alaikum warahmatullah wabarakaatuh ndugu zangu waislamu
Usimamizi wa masjid Muzdalifa unaomba sadaqa zenu ili kubadilisha roofing kwani mskiti unavuja
Budget ya quatation ni k**a mnavyoona hapo chini
Mpesa no 0718208351
Account no 1315923505
20/05/2023
Himizo la kuweko kikoto ( discipline master) ndani ya nyumba ili watoto wakione ili kuwafunza adabu
Maashaallah ALLAH amhifadhi mwanachuoni wetu, ampe afya na umri mrefu ili tuzidi kupata faida kutoka kwake
30/04/2023
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Mombasa
01/05/2023
01/05/2023