Dogo R
Rapper, Songwriter, Performer, Recording Artist From Africa
https://youtube.com/@dogor1200 Rapper, Songwriter, Performer, Recording Artist From Africa
14/11/2025
kwa nyinyi mnaojua kila kitu hiki chakula kinaitwaje
07/08/2025
Wanaume mllio toboa maskio na pua msikikate tamaa ipo siku na nyinyi mtaingia mwezini
Dogo R Dzinyama
06/08/2025
Boda boda na muuza chips akikuambia huyo dem hafai usiwe mmbishi
Dogo R Dzinyama
04/08/2025
Kumbuka story ya maisha yako itakua tamu ukifanikiwa tusichoke kupambania ndoto zetu
Dogo R Dzinyama
04/08/2025
Sina haja nashuka mimi mwenyewe ni mmasai
Dogo R Dzinyama
31/07/2025
Hatuwezi kaba hatuwezi iba lakini kwa uwezo wa mungu tunashiba
29/07/2025
Kumbu kumbu anazo mpiga picha one love wanangu wa kitaa
Dogo R 👈 my page
29/07/2025
Misojeshi la mtu mmoja mi mtu mmoja mwenye jeshi ✌️ k**a kawa tingeti massive ndio kitaa 🔥 follow my page 👉 Dogo R
17/07/2025
Happy birthday to me
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Address
Mombasa
80100