Lewie Comedy
Acting funny οΏ½ Comedies
Lewie:Hi beb
Shiroh:πππ
Lewie:N nini babe sikuelewi aki?
Shiroh:πππ
Lewie:kuwa serious cutie
Shiroh:πππ
Lewie: Akh ilove you k**a "Manchester United" team yanguπΉ
Shiroh:πππ
Lewie : ok, ile pesa uliniambia nikutumie nitume kwa hii namba ama ile ingne ?
Shiroh: pole bae , simu ilikuwa na mtoi but tuma kwa ile namba ingne , hii iko na fuliza bebππ
Lewie:ππ
Shiroh:Beb ndio nini sasa?
Lewie:ππ
Shiroh: utatuma ama
Lewie:ππ
Shiroh:kwendah nilijua huna pesa ghasia wew
Lewie:kwa mpesa wataleta jina gani π
Shiroh: Shiroh Makena, I love you bebππ
Lewie:πππππππ€£π€£ good night
Shiroh:labwa na shetani kwa USO ππ
Lewie: you 2
Huyo bae wako akishikwa sai unaeza uza simu yako umtoe ama niache ujingaπ€£π€£
Sisemi Ni mkisiiππlkn
Ameambiwa anyamaze
Kwa dakika tano apewe 10k...
Kufika 4min 30seconds
Akauliza Ni cash ama mpesaπ€£π€£π€£π€£
Taja huyo beshty yako mwenye kulingana venye ako na beb wengi ata aachwe sai hawezi Baki single ππ
Ukiona choo kwa ndoto usitumie tafadhariπππππ
Beshty yangu ananiitia pombe na niliachanga,but acha niende Nikatae liveπ€π
Wasomi camera huitwaje na kiswahili
Madame,Utapata jamaa anakwambia aty tuma picha full,kwani anataka kukutengenezea jenezaπ€π ππ
Click here to claim your Sponsored Listing.
19/01/2023
17/01/2023