LULU FM RADIO

LULU FM RADIO

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from LULU FM RADIO, Radio Station, Lulu FM Radio, Malindi.

31/05/2026

Je ni karakara azhazi a kwa bibi harusi kumthuwa mwanawao na msafara baada ya kumlazha kanisani baada ya harusi kufungwa? Ama akarakara ni mauyire ho kanisani mende Mudzini makaoye? Dzigidzya kukirira 23813

27/05/2026

Kuna ukweli kuwa mitandao imefanya watoto wengi wameingia mimba za mapema? Na vipi kuhusu simu za mkopo! Karibu kwenye Radio mazungumzo yenye kunoga. Sema nasi kwenye SMS 23813 na Paps Mkare

22/05/2026

Si dhambi kushabikia Football, but being an Arsenal fan....

22/05/2026

Njia sahihi za kisaikolojia kuwasaidia "Watoto" waliopata watoto ni zipi? Mtoto akipata mimba pale kwenu huwa mnaanzia wapi? Unatusikiliza ukiwa wapi? Sms 23813

21/05/2026

CHAIRMAN APEANA TAMKO!!
"Wasanii wa mziki wa Gospel Malindi wamelala sana, wengi wanakosa advise ndio maana wameporomoka!" Asema Chairman wa mziki wa Gospel Malindi.

21/05/2026

Je ni umri sahihi mtoto anafaa kupewa hamasa na kuanza kufanya maamuzi ya kuwa na boyfriend/girlfriend? Karibu kwenye mazungumzo ya kuhusu wanarika na maamuzi lakini pia hamasa pamoja na Chairman na Sema nasi kwenye SMS 23813

19/05/2026

Je, Ni sawa kwa makanisa kuendeleza mafunzo ya kuwafanya vijana kujiepusha na mimba za utotoni?

19/05/2026

Good morning, kumekucha k**a jana, vipi bei ya usafiri huko? Unatumia tikiti ya pesa ngapi kufika job? Pande hizi tunazidi kumtukuza Bwana na ladha ya nyumbani!! Uko nami Pendo Karima kwenye ndani ya Sema nami kwenye SMS 23813

17/05/2026

ndo kipindi ko hewani, moro rero ni kuhusu usafi wa atu maishio maisha ga ndoa. Ni uchafu wani udzasinya sana ko pkwaalume ufahao kurichwa? Mulume karakara ni akale na suluwale nyingahi? SMS 23813

12/05/2026

Anayekupenda kweli anafaa akusave vipi kwenye simu?

Want your business to be the top-listed Media Company in Malindi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Lulu FM Radio
Malindi