FUZI MPOLE

FUZI MPOLE

Share

Mimi ni naitwa fuzi mimi ni mwana sanaha napenda sana kuigiza pia mimi ni mchoraji mzuri sana

11/06/2025

Wapo wa kuamini lakini si walevi,wachungaji na wanasayansi

04/01/2025

Watu k**a hawa wanakujaga nakuondoka bila
hata kuaga siwezi pingana na hatma yangu
wapo ambao nilifuata wakanifuata Jalali
awalinde nyote sitaki nishauriwe my message kuwa single kuna raha zake

03/01/2025

Niko njiani sijui naelekea wapi k**a wewe utafanya nifike niendako please come over wapo ambao niligombani nao wapo nilio kwazana nao nawaomba msamaha ili nifike salama

Photos from FUZI MPOLE's post 01/01/2025

K**a wewe ni mgwana kweli usipo like unawivu wewe ni mgonjwa hawa watoto machipukizi wanakuja moto k**a unakubaliana na mimi toa maoni yako

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Lodwar?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Lodwar