Morre champee
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Morre champee, Health/Beauty, Kitui.
24/09/2023
PORNSTAR part 1
💦🍑🍆👅🥳😋👨❤️💋👨🔥🔥🔥
Nakumbuka time ya corona maisha ilikua hard,,job hakua kwa urahisi 😔,,nikatoka tao nikaishia ushago nikidhani maisha ya ushago at least si mbaya ju huko naeza panda hata MBOGA nikiuzia wamama,,wuee hata MBOGA zenyewe ziliogopa kumea,,jua nayo ilikua imekua Kali hadi hutamani kuenda shamba,,Sasa siku moja nmekaa tu nmetulia Brayo akanipigia simu akaniambia,,,😧"oya voke rada kwani ulienda wapi,,,🤔nmeja kwako sijakupata,," wuee nikamshow,,,"nilitoka Kanairo bro sai niko ushago,,🤗" wuee kidogo akaniambia niingie Whatsapp,,kuingia tu hivi manze Brayo akanitumia picha akiwa na gari manze amepiga luku k**a dangote🙊 halafu ameshikilia madollar💵,,wuee 😧 nikaanza kudoubt nlidhani ni editings za Photoshop, 🙆🏿♂️wuee wapi akavideo call wuee kijana ilikua tajiri for real,,nikamshow anitumie hata thao moja😒 ,,akatuma thao kumi akaniambia niishie Kanairo,🙆🏿♂️aniconnect na job yenye anafanya ,,wuee mi kuona thao kumi kwa mbesha na vile nlikua nmesota😰,,nikaenda kwa kisiagi nikanunua maindi korokoro mbili,,nikapitia kwa mama mboga teke teke nkapita na ofulu ya foti na nyanya ya ten na kitunguu moja😋🥳,baaas nikaamua kutoa njaa kwanza ndo tuongee Sasa na Brayo vizuri,,nikapika ugali ingine yenye hata p***y haiwezi ruka 🥵nik**aliza nikakula,nikaoga nikachukua bus ya climax huyoo kanairo🚌🚍
Udaku ikikubamba follow up My page for more fun ?? halafu usisahau kucomment hapo niwaletee part 2 mourice kaa reagan
09/08/2023
Click here to claim your Sponsored Listing.