Dixot

Dixot

Share

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

26/05/2026

AYANA CITIZEN TV WEDNESDAY 27TH MAY FULL EPISODES

26/05/2026

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ•π“π‡ πŒπ€π˜ ππ‘π„πƒπˆπ‚π“πˆπŽπ
π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟏
Saida alishaanza kuona game yote ya Ray πŸ˜³πŸ˜‚
Akamfuata nje akamuuliza, β€œSasa hii video ya Naivasha ni mchezo gani?”
Ray akaanza kucheka kidogo akamwambia, β€œSabina anafaa ajione ako mbele yetu ndio ajiexpose mwenyewe.” πŸ”₯
Kumbe ile video ya Tinah akiwa club ni old video Ray alipata kwa simu ya Tinah πŸ˜³πŸ˜‚ ndio akaamua kuitumia kuchanganya Sabina na everyone else.
Meanwhile Sabina alifika kwa hideout akiwa na hasira mbaya. Kufika tu akamvamia Stano,
β€œUlinicheza?!”
Stano akashangaa akamwambia, β€œBossy kwani nimefanya nini tena?” πŸ˜‚πŸ˜‚
Sabina akamuuliza mbona pesa haikufika kwake. Stano akasema yeye hakuna pesa aliona. Hapo ndio Sabina akajua mwenye alichukua pesa ni Ray 😳πŸ”₯
Lakini shida kubwa ni kuwa…Tinah alisikia kila kitu 😭πŸ”₯
Tinah sasa akajua Sabina ndio mastermind wa kutekwa kwake.
Tinah akaanza kulia akisema, β€œSabina why? Mbona unifanyie hivi?”
Sabina akashtuka vibaya juu hakujua Tinah alikuwa anasikiza 😳
π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟐
Kwa mansion meanwhile, Asha alikuwa out na Ray wakijaribu kurudisha mapenzi yao πŸ˜‚β€οΈ
Mathew akiwa balcony alikuwa anawaangalia vibaya mbaya hadi Nura akakuja akamwambia,
β€œWewe ukitaka kulia lia tu usijifiche.” πŸ˜‚πŸ˜‚
Mathew akamwambia, β€œMimi siwezi pigania dame k**a huyo.”
Nura akamcheka akasema, β€œSasa k**a huwezi pigania dame mbona unaniumiza macho ukiniangalia kila time?” πŸ˜­πŸ˜‚πŸ”₯
Boychild akaanza kufall proper sasa.
Meanwhile Kefa alijam sana juu ya restraining order. Akaanza kusema Annaliza ameanza kudharau yeye juu ya Robert. Kefa akaapa hakuna wedding itafanyika kwa amani 😳πŸ”₯
Usiku huo Ray aliwaita Saida na Tyrone secretly. Akawaambia,
β€œTomorrow mchezo inaisha.”
Saida akauliza aje?
Ray akasema tayari ametrack location ya Stano 😳⚑
Kumbe wakati huo huo Sabina alikuwa ameanza kupanga Tinah ahamishwe mwingine location juu anahisi Ray amekaribia sana ukweli.
Lakini shock kubwa ilikua…
Stano alikataa 😭πŸ”₯
Stano akaambia Sabina,
β€œMimi siendelei na hii mchezo tena. Huyu msichana ame

25/05/2026

hello team usiku Sacco

25/05/2026

AYANA CITIZEN TV TUESDAY 26TH MAY FULL EPISODES

25/05/2026

AYANA CITIZEN TV TODAY FULL EPISODES PART 1 &2

25/05/2026

AYANA CITIZEN TV TODAY 25TH MAY FULL EPISODES

22/05/2026

Tulitumia Maganda Ya Miwa Kukata Hiyo Placenda πŸ€£πŸ˜‚

22/05/2026

BRAYSON ASHAMWEKEA STANO RADA! πŸ”₯
Mambo yamebadilika! Asha na Saida hatimaye wamehugiana na kuombana msamaha Hallelujah! Kila shabiki alikuwa anasubiri hii siku. πŸ™Œβ€οΈ
Lakini upande wa Sabina, mambo ni magumu. Amechapwa za uso na Saida, kisha Tyrone akamwambia amfuate Robert kwani yeye sio baby daddy wake wa kuchezewa! Sabina anaweweseka tu chumbani kwake.
Huku mtaani, akina Asha wanatafuta Tinah kwa nguvu zote kwa kuweka posters, lakini kuna gaidi anazitoa. Hata hivyo, Brayson (Ray) hayuko nyuma ashaanza kumshuku Stano kuwa anajua siri ya kupotea kwa Tinah!

naona stano atatoboa Siri za Sabina akik**atwa vizuri na Ray,, unafikiri ray akimk**ata stano red-handed atamfanyia nini??

21/05/2026

AYANA CITIZEN TV FRIDAY 22ND MAY FULL EPISODES

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Kitale?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Kitale