DR RICHY

DR RICHY

Share

MANAGER OF JK STUDIO 💪
✔️ STORY WRITER
✔️ SONG WRITER
✔️ CONTENT CREATOR
✔️PAGE PROMOTER
✔️ BUSINESSES ADVERT

24/02/2025

😍 IN LOVE WITH MY BESTIE 😍

SEASON 01 💞
EPISODE 08 ❤️

😂Hapo nikaoga na suti tena. Snyder ametolewa home amekam kukwama kwangu. Ikabidi nitoke na yeye kiundercover hadi inje ya gate before mathe aamke... dem analia😢.

Me : Itabidi umekua mjanja tena..we ambia maparo ulidoz kwa beshte yako.. coz mimi hadi mathe akikuona na mzae tena akuone itakua noma.
Snyder : Maparo wemechacha kabisa..wacha nirudi nione if ndakubaliwa home tena.

Snyder akajitoa hamsa. Nikarudi makejani tho Sam alikua hajaamka bado✊. Nikatulia tu hapo kwa keja nikipiga macalculation kimazematics🙄. Kitu ilinipea stress ni hio story ya brayo. Nikajua huku hocha pia kinaweza nuka kiafande kipolisi😂😂. Coz pia johnte alikua anajua home kwetu. Hio day ikaisha Snyder hakurudi. The next day k**au akacall nikajua huyo anadai kuuliza doo nilibaa kwake😂. Nikalenga phone. Tena kiasi Camilla akacall three times nikalenga. Nikafunga phone. Majioni nikapata Camilla amenitex ati alikua anadai kunishow mapai wananikujia home🏃. Nikaassume hio text. After kudish supper dalili zikanionesha nikubaya😢. Nikajaribu kukaa hapo makejani kiasi. Kitu 10pm hivi naskia watu kwa gate. Nikatoka inje naona torch k**a tatu 😲..kiasi naona mzae anafungua majamaa watatu wakaingia....nikaona mtu k**a Johnte 😰...nikajua hii ndio ile siku unapatananga na mse kwa roady ametoka nyau 🏃 koti inafly k**a propeller 😅. Nikajipiga kwa keja nikaambia Sam akiulizwa aseme hajui penye nimeenda. Nikachukua bag nikajitoa. Kutoka tu hivi inje naanguka kwa mapai😢. Nilipatana na swip hadi chini 😭. Mapai wakaleta vurugu. Johnte ndo aliwaleta. Nikaekwa pingu. Mzae akaambiwa
Ati nilipiga mse karibu niuwe. Finally kwa court i was found guilty na nikapigwa prison for 6 months 😭😭😭. Prison life ikakua noma. Pia nikapatana na magaidi huko kichapo daily. Kuna inmate wangu kwa jela mse alikua anapiga makofi daily coz i was jailed for something not serious. Food ilikua kidogo hata most of the tym nakosa food. Love is blind na inaweza kuland in bad lands🔐. Finally six months zikadie bazenga nikatoka prison 💪. Nikadandia lorry flani hadi ushago. Nikaishia hocha. Maparo wakafurahi kuniona. After two weeks nikarudi
Tao tena. Nikapata keja imefungwa so landlord akanishow hawezi ishi na gondi tena..hataki wakora😂. Ikabidi nihame. So kuna day nilikua natoka kamjengo jioni nikapatana na K**au akanishow Brian na Camilla walirudi wakaanza kudate tena hadi Camilla ako na ball ya Brian🙄..tena akaitisha zile 800 zake niliiba nikampea. Yani after nimepigwa hadi jela coz ya dem wakarudiana😭.....T.B.C

Season inaisha kesho😂💪. Thank u guyz for ur support. 💞💪. Keep inviting your friendsNew story boiling 💥
DR RICHY

22/02/2025

😍 IN LOVE WITH MY BESTIE 😍

SEASON 01 💞
EPISODE 07 💞

Hapo nikajua kimenuka😰. Nikapack vifaa kwa bag. Nikazima tv. Nikaona K**au amewacha wallet hapo kwa meza. Nikafungua nikapata kuna 800. Hizo nikiongeza 200 nafika ushago. Nikazima phone. Nikachukua hizo doo za K**au nikacheza na njumu mbio hadi stage. Nikaingia kwa minibus hadi ushago 😂. Nikafika hocha nikapata maparo wako fiti. Nikaingia kwa keja ya home. Imeshona vumbi k**a jikoni ya mganga😂machos tu. Nikaunda keja vizuri then nikaenda kuzurura nikigotea mabeshte wa mtaa. Kwa hio kuzurura nikakutana na dem flani wa huko home anaitwa Snyder ako form four. Fisi nikamkula luga nikabeba hadi makejani. Mathe akapika food akadai nikulie huko kwa hao nikasema zii wacha nikulie kwa keja yangu... ndo pia Snyder akule. Kabro kadogo kakaninyemelea kunifata nikafkuza😂kangeona Snyder. Tukiwa na Snyder namlisha food mzae akafika makejani.

Mzae : Ahaa kwani ulioa..umekuja hadi na bibi na huwezi tuambia.
Me : Hapana huyu ni beshte tu.. anaitwa Snyder.. Snyder this is my dad.
Snyder : ooh poa..hello..
Mzae : Ah ah ah ati hello..na beshte anafanya nini sai kwako na hii giza?
Me : Amekuja nimtengenezee simu yake haileti message.
Mzae : Ooh akimaliza aende nyumbani...

Mzae akajisepa. Dem alikua ametense k**a vibrator😂😂😂. After kudish tukatulia then tukaingia bed. Kiasi mathe tena akakuja. Ikabidi Snyder ameingia chini ya bed.

Mathe : Na si bro yako akuje alale huku..huwezi
lala hapa pekeyako na umekuja tu leo.
Me : Hapana mi nimezoea kudoz pekeangu mam.
Mam : Wee wacha akuje."Sam kuja ulale huku".

Sam akakam na spidy hadi makejani😂. Form imeungua. Nilikua tu na bed mbili hapo. So Sam akadoz kwa ile ingine. Nikatym anangorota k**a ngamia nikatoa Snyder chini ya bed hadi kwa bed. Nikachukua cd hapo kwa bag yangu nilikua nimebeba kathaa.hio ni toolbox 😂.
Nikamtoa manguo fashter..nikatoa manguo kushona nunu 🍑🍆 chini ya maji hadi atoke maziwa ya nyayo 🍆🍑. Snyder naye alikua jambazi kivyake..chuma iko ndani na anamoan loud k**a mse ako kwa funeral. Nikafunika mdomo rungu ikacheza na c**t k**a dvd na cd
Sasa ilikua ni kuteremsha tu lubricants k**a fundi wa bike😂. Sam naye ako mandoto k**a prophet. Nunu 🍑 ikakua tamu😋. Tuko tu kwa giza lakini ile joto iko hapo inaweza boil mayai😂😂😂. Chuma inagonga hadi G-spot😍. After round zangu kadhaa tukadoz. Morning 🌞 nikaamka 6 nikasindy Snider hadi kwao then nikarudi makejani nikarudi bed. Text ikaingia kuangalia ni Camilla. "Brayo ako hali mbaya na unasakwa vibaya sana.. police wanakusaka tao yote"..kidogo tena naona Snyder anarudi kwa keja.

Me : We kwani umerudia nini?
Snyder : Maparo wamenitimua nirudi penye nilidoz usiku😰....T.B.C
Have a great weekend,, tpatane Monday na nxt episode,,pita na like,,
DR RICHY

21/02/2025

😍IN LOVE WITH MY BESTIE 😍

SEASON 01 💞
EPISODE 06 🌹

Brayo akaingia na niko uchi juu ya Camilla 😂. Nikajua hapa leo nimepatwa red handed . Paka imepatwa kwa maziwa😂😂. Nikaangalia hapo hata sioni silaha. Brayo akakam mbio hadi hapo kwa bed akainua mpini kunibonda. Nikamshika mkono nikiwa naked hivo tukabambana hadi chini. "Leo nimekupata ulijiona mjanja bro". Nikamlima heady ya kichwa. Ikabidi nimnyonge na towel. Akabambana nikaona mse atafaint. Akatap akisema imetosha. Nikatoa mkono. Alikua amesweat k**a mkimbizi 😅. Akakaa hapo down tukavaa manguo.

Me : Mse itabidi uwachane na lyf yangu ama pia mimi ndakomboa mbogi manzee.
Brian : mi sikua na makosa but we ulichora na mzigo yangu manzee. Camilla haina noma.
Camilla : But brayo u never treated me like ur lover..thaz why i fall for him...it was ur fault.
Me : Bro itabidi tuelewane tuwache vita then.
Brian : Hiyo zii huwezi piga manzi yangu chain hivo.

Kamila akajam akatoka akaishia. Nikabaki na brayo hapo tukiletana juu. Tena tukashikana kubomoana😂💪. Ngumi zilitamba kisimba. Vitu tukaharibu hapo kwa keja. Mwiko ikavunjika. Akakalia stove ikaharibika😂. Basin akanigonga nayo kwa kichwa ikararuka ikajivaa kwa shingo k**a necklace 😭. Something happened 😿. Nikachukua hio mpini yake nikamgonga kwa forehead akaanguka ma down sea level. Kumguza brayo hapumui. Amezima😰. Nikamtingiza "brayo brayo" mse haamki. Nikajua huyo nimeua mse coz ya dem😢. Mayb i have killed someone coz of love..nikaachana na story za Camilla. Nikapack manguo kwa bag nikavuruta Brian karibu na mlango hapo inje nikajisepa. Hadi kwa beshte flani anaitwa Stano. Nikaambia Stano anifiche hapo kwake for two weeks nikisaka fare ya kurudi ushago coz alikua beshte yangu kuruka..so pia nikamshow vile kumehappen.

Stano : Mse k**a umeuwa brayo hapa sitaishi na jambazi man..we jitoe bro.

Nikajitoa tena hadi kwa beshte mwingine..huyu naye ni K**au. Nikadanganya K**au nimefungiwa nyumba. So akaniambia nikae hapo for one week nikisaka doo. K**au alikua na tv hapo kwake. So the next day k**au akatoka akaishia njaro zake akaniwacha kwa keja yake. Kitu 1pm nikiwa nawatch news naona headlines ati Crime scene 🙄. Kiasi naona mwili ya brayo then "A man severely injured by unknown person". Nikasonga karibu na tv poa. Nikaona keja yangu ikaoneshwa😰😰na wasee wamejaa hapo inje😭......T.B.C

K**a hujai invite please use this time and invite hata 10 ill appreciate 💞💯💯
Follow DR RICHY

20/02/2025

😍IN LOVE WITH MY BESTIE 😍

SEASON 01 💞
EPISODE 05 🌹

Camilla akanikalia k**a sofa haga 🍑 ameziweka juu ya kichwa yangu na mimi nimeinama k**a kiti😂. Masa yake akapita then tukaingia kwa room yake. Alikua anadoz na siz yake mdogo so ikabidi Camilla amekapiga kiswahili😂kanyamazie bazenga alale hapo. So mi nilidoz kwa bed yake na Camilla akadoz kwa bed ya siz yake. Mse nikajitupa kwa bed iko freshy sio k**a ile yangu ndogo kejani ✊. So morning 🌞 nikaamshwa na Camilla 5am nijitoe.

Camilla : Amka uishie kabla mam hajaamka. We will communicate but pliz kua keen na brayo.
Me : Thanks wacha niishie kejani nihame hio place.

Akanitoa hadi nje ya gate akanihug then nikaishia. Nikaenda nikichungulia. Nikafika 6am hapo makejani. Nikapata kifuli imekatwa na mlamgo iko wazi. Kwanza nikapatana na matress imekatwa katwa hapo karibu na meza.l😭. Gas imechora. Nikapata ka letter hapo kwa meza kanasema " Mse ni brayo....niko na wewe bamba tu bamba..umezoea kumanga madem wa watu but leo umecheza game mbaya". Nilicheza na Camilla away 😂 nikafunga penalty. Sasa coach ananitafuta. Nikajua hapa sitakaa. Nikasanya stff zangu nikaishia nikaleta mse akanibebea kwa tuk tuk nikahamia mbali kiasi. Nikacall Camilla nikamshow place nimehamia. Sikua natoka makejani sana unless k**a nasaka hasle. A week passed so nikaamua kuita Camilla makejani morning 🌞 coz she was now my bae 💞. Camilla akakam tukatulia hapo makejani.

Me : Beb now that we have freedom brayo hawezi tuletea..my heart is now ur platform 🍎
Camilla : Infact ur cute than that stupid animal... love u so much.. treasure my heart beb💯.

Tulitulia hapo hadi 2pm tukaamua kufika pub kiasi. Mi nikaitisha keg 🍷 then Camilla akaitisha
Juice coz she wasn't' alcoholic. Nikajitibu makali na bae wa wenyewe hapo. Kiasi nikaona Brayo akaingia pia na dem flani😭. Yani huyu mse hunitafuta tu. K**a nyuki na mzinga😂. Hapa kitawaka. Nikacheza kisubmarine nikaambia Camilla tuiname chini. Shetani naye ni nani. Brayo na huyo dem wakaa nyuma yetu. Alikua amepata nganya ingine gari mpya😂. Hakunijua. Kumbe alinotice Camilla. Akaamka na chupa ya mzinga. Akainua kupiga Camilla nikaruka ikamiss ikagonga mwenye pub kwa counter akafaint😅. Camilla akaanguka madown sea level 😂. Nikapiga Brayo swip hadi chini. Madem hapo ndani wakaanza nduru. Mabouncer wakaitwa🏃. Nikakimbia nikanguka karibu na counter nikaangusha crate mbili za chupa. Camilla alikua ashajitoa ako inje. Nikatoka mbio coz mabouncer wawili waliingia mtaa wakabambua Brayo hapo down. Bouncer moja akanifata nyau hadi inje. Nikasepa hadi makejani. Nikacall Camilla akanishow aliacha k**a Brayo amepigwa proper😂💪. Madayz zikapita without seeing brayo. Nikajua sasa hio Mjinga ililearn lesson. Kuna siku Camilla akakam makejani kunitoa kutu 🍆🍑. Nilikua dry dry k**a mchanga. Camilla akakam lubrication. Before next nicheze na nunu 🍑 nikarudisha mlango poa but sikufunga na lock hio keja ilikua single room. Nikapanda juu ya cargo nikaanza kuchimba k**a plumber ✋🔥. Nikacheza na pu*ssy 🍑🍆chuma ni lubrication manenoz Camilla alikua moaning 🍑🍆k**a kinanda. Kidogo mlango ikapigishwa kando na nguvu🙄 kuangalia naona ni Brayo na mpini😢.....T.B.C
Pita na like,
DR RICHY

19/02/2025

😍IN LOVE WITH MY BESTIE 😍

SEASON 01 💞
EPISODE 04 😍

Hapo nikajua kimenuka mse😂. But nikaona siwezi hepa niwache Camilla hapo. Brian anaweza mletesha mascandle. Nikaingia na pressure. Nikapata Camilla analia.. Brian alimlima makofi.

Me : Yobra ngori ni gani?
Brian : We na wewe utaniambia chenye unafanya na dem wangu. Yani ukazimisha wasee ukanichomea bash then ukahepa na Camilla. Mse leo nakutoa umalaya.

Brian akanirukia na teke ya tumbo nikaanguka kwa vyombo. Brian alikua Hi**er mse wa gym. Akanikalia akanibonda ngumi kavu kavu na Camilla nikulia tu badala aniokolee😭. Nikaskuma Brian kando nikachukua stool nikalima ya mgongo akakaa chini. Nikaambia Camilla ajifunike bedsheet ajitoe hamsa🏃. Camilla akatoka akajisepa na phone yake😂. Nikabaki kwa reign kupambana na Ajay styles 😂. Brian akaamka akanigonga heady ya kichwa. Tulivunjana huko ndani k**a kuni za forest😂. Namlima ananilima...namgonga ananigonga. Nikaona brayo atanitoa meno. Nikaruka kwa basin nikachukua knife Brian akatoka hamsa akahepa. Nikatulia kupumzika. Alikua ameniwai ma injury 😂. Nikacall Camilla akanishow amepitia kwa beshte yake ampee nguo ndo aishie hocha. Nikaishia kwa chemist kubuy painkillers. The next day morning 🌞 nikapata text ya Brian "umecheza na ule mnoma..ndakutoa shingo walai... Camilla is mine". Ubeshte na Brian ikaishanga hivo. Sasa akakua enemy. So the next day nikaishia kwa beshte flani alikua hio day kwa bash pia anaitwa Calvo. Huyu ndo nilimlenga mzinga akazima wa kwanza😂. Kuingia tu hivi naona Brian amekaa hapo wanadish na calvo. Brian kuniona akarusha sahani ya sembe🥙kidogo inikate forehead 😂😂🏃. Ikabidi nimetoka hamsa hadi tao. Nikatulia kwa bench flani hapo hadi majioni. Nikapitia kwa club flani nikapiga keg🍷. Kagiza kakashika nikaanza kupiga njumu 👞 kurudi hocha. Mbele kiasi kwa kona flani nikaona watu wamejaa barabara. Kuangalia nyuma naona nimefatwa na mabois watatu. Nikasense hii mbogy inakaa kuchacha. Nikapunguza pace. Kidogo nikaona ngepa kofia ya Brian 🤔. Nikajua hapa nimebambwa na rende ya Brian. Kuangalia poa pia calvo ako kwa hio geng'. Wakanikaribia. Nikaona wamebeba mipini na shoka mbili 🙄. Nikaanza kurudi mareverse. Wakaanza mbio. Kuna mse hapo wa nyuma akanisongea ndo nisihepe. Nikamdunga vidole kwa macho na elbow akaanguka nikamkanyaga k**a nimehepa😅🏃. Majamaa wakaanza mbio kunifata. Tulichana mbuga vichochoro. Wakarusha shoka karibu initoe haga ya left 🤣🤣🤣💔. Majamaa walinileta ikabidi nikaingia kwa choo flani hapo kwa rentals sizijui. Nikanyamazia ndani..choo ilikua inatupa but nikakanyagia. Brian wakapita mbio wakinisaka. Nikachomoka mbio hadi kwa bess wetu pia anaitwa Johnte. Johnte akanishow Brian aliwaambia wakiniona wanishike. Johnte nikaona hana nia poa. Nikatoka hamsa. Sikuishia makejani coz huko pia wangekam. Nikacall Camilla nikamshow sina place ya kudoz 😂 Brayo ananisaka na shoka. Camilla akanishow niishie kwao nidoz huko. Nikaishia hadi kwa gate. Akaongea na Watchman akakubali niingie. Sasa ikabidi niingilie kwa dirisha ya room yake coz maparo wake walikua mtaa. Kuingisha kichwa kwa dirisha kiuno ikakataa kupita🤣. Waaah..ikabidi tuzunguke hadi kwa door ya nyuma niingilie kitchen. Tukaingia nikatembelea nyuma ya Camilla hapo kwa corridor kisubmarine. Masa yake akatokea ikabidi Camilla amenikali😂😂😂...T.B.C

Please invite friends to like my page ✊. . Tap the like button and share pliz 😍.
DR RICHY

18/02/2025

😍IN LOVE WITH MY BESTIE😍

SEASON 01 💞
EPISODE 03 💞

So Camilla akakataa nimnyandue☺️. Nikaamka kwanza nikafunga mlango ya keja vizuri. Nikamshow ndanyonga akiangalia. Nikampiga ulimi kiasi but akadinda.

Camilla : Kwanza hata najua hauna CD..ungekua nayo ningekupea...but brayo asijue.
Me : Aah CD haiwezi kosa obvious.

Nikaingia kwa bag hapo nikatoa CD. Finally Camilla gave in na akakubali nikamlima chuma🍆🍑. We enjoyed it tho sio dem yangu. But i really loved Camilla and i guess she also loved me💞. The problem was Brian hangetaka kuskia ati mse anataka dem yake..na angejua namanga Camilla ingekua worse. After the pu*ssy game nikatoka nikaishia bathroom nikaoga 🛀..then Camilla pia akapiga shower. Dem akapika chai tukakunywa akiwa amekaa hapo kwa bed. Kidogo phone ikaring kuangalia ni Brian. Nikalenga hio call. Alicall like four times but nikalenga pia😂angejua dem yake ametoka theatre ingekua noma. So tukatulia na Camilla hapo kando ya bed. Huyu dem alikua ameninice ikabidi tu nimshow.

Me : Camilla manzee umeninice sana.. for long nimekua nakudai kisubmarine but sijai kushow.
Camilla : Mmmh..but wat about brayo?
Me : Tutajua vile tutahandle brayo..hatajua ..na si unaona vile i care for u than he does. Brian hakupendi Camilla.

Dem akaniwekea kichwa kwa chest k**a tumetulia hapo kando ya bed tu...hio ikakua semifinals 😂. Nikakatia Camilla..nikapiga bisection maulimi akaingia box so ikakua brayo hatajua but dem atakua wangu..so hapo tutakua tunacheza Brian kisubmarine underwater 🥂😂.
Tulikaa hapo makejani hadi jioni coz hangetoka bila nguo coz zake ziliraruka hio day ya bash. Nikaishia soko kusaka supper then nikarudi. Nikiwa kwa mlango nikaskia sauti ya Brian na Camilla wakiletana juu hapo ndani ya keja yangu😂. Hapo kimenuka coz Camilla alikua bed na alikua hana nguo😂 ......T.B.C.

K**a uko tuned,, enda apo comment section na uandike ,, na pia usisahau kupita na like👍,, tpatane next episode 👐
DR RICHY

17/02/2025

😍💞IN LOVE WITH MY BESTIE 💞😍

(Panty remover 💞😍💦)

SEASON 01 💞
EPISODE 02 🎉

Kamvua kalikua kamechapa. Nikachomoka na cargo yangu 😂 kwa mabega k**a mfuko ya Simba cement dem amezima ni kunguruma tu k**a kisiagi😅. Nika tapa tapa kwa matope hadi Timberland ikakua mzito💔. Nikafika place flani inajiita kona mbaya 💔. Kumbe ile tambler kadhaa nilikunywa ilianza kufanya kazi underwater 🥂🍾. Kwa hio kona nikaona ziko kona saba💯. Nikafata ile ya tano. Nikajigonga kwa post nikaanguka na cargo kwa matope🤹. Punda ichoke lakini mzigo ifike kejani✊. Nikaamka nikaangukia kidevu😭. Nikajikaza nikaamka nikachukua cargo nikajaribu kuweka kwa mabega. Mimi pamoja na cargo tukaanguka kwa mtaro flani hapo. Nikajikaza nikaweka cargo kwa mgongo tukavurutana jadi makejani. Kingfisher panty 👙 remover ikaanza kufanya kazi sasa. Nilikua zimenipanda k**a Kenya power kwa post ya transformer 😂.. but hii cargo lazima ipande kwa pickup 😂..yani kwa bed..leo bestie ananilambisha hio kitu k**a glucose 😋😘. Nikajikokota nikampandisha bed. Kwa hio process toja yake skinny ikararuka ikabaki vitambaa mbili k**a tai😂. Thighs zikabaki inje...nilikua makingfisher ma tambler lakini hii samaki naitoa kwa fishpond kingfisher panty remover inaitoa k**a ndoana😂✊. Nikafungua zip nitoe chuma 🍆🍑. Nakumbuka tu nikiangukia gas😂. Morning 🌞 kuamka bazenga napata nililalia gas na tumbo haga nimeinua juu k**a mwenye naroga😂. Chuma imejikunja k**a pipe ya plastic aakh kumbe sikumanga ile cargo. Nikaamka mbio ma hangover kibao. Nikaamsha Camilla. Dem akashangaa ako kwa bed yangu.. theatre bed..kwanza hana bra na toja imeraruka.

Camilla : Whaaat?..nilifikaje huku surely?..am i dreaming???..
Me : Wacha bangi Camilla..ulizima k**a stove..kila mse alizima..wakaanza kungorota k**a mapunda kwa uwanja..nikakuokoa coz i care for my bestie.
Camilla : Na wat about my clothes?...did u fu*ck me?..did u?.
Me : Wat if ndakuambia i played with ur tam tam 😋🍑?
Camilla : Noo wacha izo..
Me : Okay tulifika tumezima.. hadi macho yangu ilikua inawaka moja k**a indicator..nikakuweka kwa bed then nikazima kabisa.

Nikangoja kiasi hungover iishe then anipee vifaaa nikague. Kuangalia sina phone...tenje nik**a imechora namba mbili🤔💔. Nikatoka unyo mbio bila kuongea na Camilla hadi kwa Brian.ilikua 8am hapo. Nikapata mlango imefungwa. Nikaskuma hadi ndani....nikapata Brian bado kingfisher imempiga ten nill ako kwa vyombo amelalia basin😂. Keki imekanyagwa imekua unga🤣💔. Kuangalia kona moja naona kuna mse dem amemchorea dogstyle anampea mastandy. Dem amebend kiuno mse anamlima tarimbo k**a fundi wa visima🍎🍆. Jamaa anaskuma hio mkia k**a kamba ya ng'ombe😂✊. Nikaachana nao nikaangalia k**a phone yangu iko mtaa. Kuna kadem flani hapo kalilewa kamedoz chini kamepanua miguu kameanika panty nje k**a samaki kwa soko. Nikakua tempted nikaguza hio panty coz enyewe mizigo ilikua ndani ilikua imejaa👙😂. Nikaona phone hapo kando nikajitoa. Kufika makejani nikapata Camilla ametoa hio toja amebaki na panty na ako kwa bed yangu😍. Alikua amejifunika bedsheet so haga 🍑 na b***s ziko macho mida ya wanga. Nikakaa hapo kando ya bed sasa nikague hii mzigo. Nikaguza guza haga 🍑.

Me : Camilla enyewe hii haga yako ni pro...jana imeniangusha hadi kwa mashamba..si hata unipee za macho..toa sheet nizione.
Camilla : Wee usicheze na mali ya Brayo.
Me : So Brayo ndo alikuleta hapa usiku?..kwanza nilikuokolea..nimepata mse flani anamanga madem huko k**a pesa za campaign✋. We nitoe kutu ama ninyonge ukiangalia🍆....T.B.C

Don't forget to invite ur friends to like my page 😉🤩. Like, share and comment 😂✊. Love you all💋

Follow our page DR RICHY

15/02/2025

❤️ IN LOVE WITH MY BESTIE ❤️

(Panty remover💞😍🌹)

SEASON 01 💞
EPISODE 01🔥

Camilla is my best friend ever...besty💞..besty for keeps 😂and for treats🔐. Camilla ako na boyfriend anaitwa Brian. Brian ajui k**a mi na Camilla we are that close and our friendship inaenda another dangerous level 💜. Brian is my friend pia. Am the one who connected him to Camilla💞 connection muhimu 😂. Mi huspend tym mob sana na Camilla coz Brian is some sort of antisocial and sometimes Camilla say he is unromantic 😅..some people say we are dating but not. Camilla is such a beautiful ❤️ and romantic creature ❤️..she is irresistible and makes men turn their long nakes like flamingo whenever she is passing😍..i like her personality that way. Hua anihelp in tyms of need pia ananitumia madooh. Sometimes hawa ma besty huokolea season ya dryspell pia🍑🍆. And Camilla is pretty cute 😍..i tried touching her b***s the other day akablush..i wanted to add salt.. next nikajaribu 😘 kiss..she rejected. Just the same day akarudi kwa keja yangu(theatre room😂)..i grabbed her sexy a*ss but she didn't respond. I don't want to date Camilla but just to test what her moma gave her...that juicy thing btn her legs ..i hop atanipea niipige rungu ya moi 🍆🍑 atoe maziwa ya nyayo 😂❤️. So kuna weekend Brian alikua na bash yake form ikaivana mzinga tunayo hatuna..tunayo💯. Akaniita magethaa poa usiku. Nikatoka makejani nikacheza na giza k**a mchawi hadi kwa Brian. Nikapata pia Camilla ako area. Mizinga nane ya kingfisher 🍾🍷panty 👙 remover. Napenda form k**a hizi😂parte after parte. Nikajipiga kwa keja ya Brian k**a naingia kwa mganga😂😂. Manguna walikua pia wameshona nyumba k**a martenaty ward. Mabazenga tulikua pia tuko kibao k**a base ya mtura na jaba. Keja imeshona k**a mat nganya ya githurai 💔.
Brian : Aaakh mzitooo umedunda.
Me : wabeebee yobra nimejisunda k**a koti ya sub-chief.

Nikagotea rende nikacheza na popcorn ilikua hapo kwa meza nikajiseti. Kwa kutibu tumbo nilikua sibaki nyuma food nakula k**a engine ya tractor ✋. Nikacheza na juice hapo kwa tambler. Ikafika tym ya kulipua mizinga. Nikafungua mizinga mbili 🥂🍾🍷. Ngoma ikawekwa. Nikacheza na play list nikaangusha ile genge moja ya kimangoto orea. Nikatoa Timberland nikaweka kando...hood nikaweka kando..usiulize kunaendaje. Kaafiti..songa nyuma ya kiti chukulia ma position 😂🍷. Nikachukua kingfisher 🍾 moja nikamwagilia dem flani hapo kwa haga 🍑 ndo arombose vifity. Tukasongeza viti kando tubaki na field stadium ya kurombosa mahaga.. twerking 💞 high voltage ianze. Madem wakajimwaga kwa field k**a kwa concert💃🍑. Madem wengine wawili walikunywa tu tambler mbili wakatokwa zikawapanda wakatoa manguo chupi zikaanikwa kwa pazia ya Brian..kengine kakaangukia thermos ikapasuka. Ngoma ikalipua jaba😂...hadi seiling ina vibrate. Kuna boy flani kalikua kaoga dem anakarombosea kanataka kuhepa😂. Mromboso ikaanzaa officially 🍆🍑. Kuna dem alinirombosea hadi chuma ikajikunja k**a stainless steel 🔥😂🍆. Nikamshika mahaga k**a napindua chapo kwa pan. Nik**alizana na huyo nikaenda kwa wengine k**a chain. Brian hakutaka Camilla arombosee wasee so alikua anaact tu k**a dj lyta hapo kwa speaker 😂😂. Nik**ake sure kila mse amelewa. Madem wote wakalewa wengine wakazima wakalala k**a kondoo 😂. Kuna ndume zilikua hapo nikazilenga mizinga zikazima k**a stop watch😂😂. Hapa lazima plan iivane.. besty leo kanaenda food chain ☑️. Keki bado hatuja kata. Nikalenga Camilla mzinga kisubmarine Brian asijue. Camilla akatupa mbao akaanza kuropoka 😂. Akatoa bra 👙 akanitupia kwa kichwa.nikacheza na ulimi. Brian akazimishwa na mzinga k**a indicator ya Tvs akaanzaa kuona watu weusi kwa nyumba. Kila mse alizima akalala..wengine wanatoa tu matusi k**a mc kwa matanga🗣️🗣️. Ilikua almost sasita usiku. Nikaweka Camilla kwa mabega nikachomoka na cargo yangu😂😂😂.....T.B.C.

Stay tuned,,flavor ni apa tu kwa DR RICHY

14/02/2025

😍💞 SCHOOLBOY 💞😍

SEASON 01 (Season finale 💕)
EPISODE 10

All of a sudden nikiwa nimekalia mkia pale nyuma ya libo bazenga naliwaza kisubmarine 😂. Nikaona Debbie 🙄then pia Nyambura akatokea. Kuwaona nikaamka nikaanza kujipea hamsini zangu😂then Debbie akaamua ku intervene😉.

Debbie : Hey richy usiende plz niskize just give us hata k**a ni 30min we wanna talk to you.

Enyewe hapo kiongozi ikabidi niringe k**a dem anakatiwa na sponsor😂. Nikajifanya naishia Nyambura akanishika mkono. Kuenda mbele Debbie akanikatiza k**a traffic police hajapewa hongo. Tukakaa hapo chini wakaanza kucheza na ulimi.

Nyambura : For me i just want to apologize najua nilikukosea . something very serious najua ulijam but nivile Reagan payed me to do so na singekataa..i was broke
Debbie : richy am sorry sikujua ilikua trap i thought u were just playing sides nisamehe beb i still love you and i think it will be better k**a tutarudiana.

Niliwekwa kati kati k**a mse hajalipa fare kwa mat😂. Debbie amenishika mkono naye Nyambura anaiangalia na huruma k**a mwizi ameona tyre na petrol😂. Nikaona hawa lazima watatii bazenga😂.

Me :Hakuna kitu k**a hio...u said it was over follow ur Reagan now..na wewe Nyambu ukaniwekelea r**e case..no way infact disappeare

Tulivurugana nikawapeleka north west😂..tukarudi south east. Finally i forgave them. Nyambura became one of my best friends. Story za Debbie nikanawa😂💔. Debbie alishinda akinisumbua turudiane but to hell. Miezi zikasonga then tukaingia form three. Alot of things happened..good and bad.. sweet and sour. Masomo ikaendelea😅. Every day Debbie used to ask me out but sikua na feelings zake. She said she wasn't going to date anyone if I'll refuse to date her again 😂. She was desperate. Finally nikamsamehe na tukarudi normal dating.

✌️THE END ✌️

Any questions my people😂.
,, tupatane kesho na story ingne,, ya "in love with my bestie",, aki hii usiwachwe nyuma,,, anayway,, enjoy your valentine with your spouse 😁,, k**a hauna chukua hii 🌹 ni yako,😁,, tpatane keshoz apa tu kwa DR RICHY

13/02/2025

😍💞SCHOOLBOY💞😍
PREVIOUSLY on episode 08........

Hapo enyewe nkaona nimepimwa sigara😒. Nikarukia Reagan na elbow hadi ma down sea level akajigonga kwa wardrobe. Nikamtembea ngumi bila mpango🤯. Nyambura nikampea makofi kathaa. Nikarudi kwa Reagan alikua anaamka. Tukavurugana tukavunja bed ya Nyambu 😂. Nikiwa juu ya Reagan nikaskia sauti familiar hivi. "Hey hey richy so this is ur game?.. thanks Nyambura and Reagan kumbe huyu mjinga ni player hivi..malaya wewe u were just playing with my heart..it is over btn us na kwanza don't ever look or talk to me..hata k**a Reagan ni mbaya hata hajai nifanyia hivo". Nguo zilikua zimefichwa😂. Nikadunga magoti chini k**a miguu za meza ku apologize 🙏. Debbie akaniskuma. Wakachomoka nikabaki hapo na Nyambura akicheka😰. Mlango ikafunguliwa mzee flani akaingia na mathe flani😰😰...

COTINUATION

😍💞 SCHOOLBOY 💞😍

SEASON 01
EPISODE 09 ✌️

Kumbe mama Nyambura na budake walidunda area k**a vumbi🤯. Wakajaa jaa room Nyambura akasonga kwa ukuta. Nikaona hapa kutanuka nyama choma isee😂. Ikabidi nichore plan kisubmarine nisitengenezwe mtura😂. Nikarukia toja na vest. Nikapita na baba Nyambu k**a cangaroo akaanguka chini mimi huyoo hamsa🏃. Nikapita na kabati hadi inje ungethani nafanya deep sea diving 😂. Hata kwa gate sikumind. Niliipanda k**a ninja assassin 😂 nikaruka inje pap kwa mashamba nikachana mbuga hadi hocha. Kwenda kuingia nikapata mathe na siz wamekaa inje ikabidi nirudi vichakani k**a simba tena nikavaa toja na vest😂. Nikatulia kiasi tena nikaingia hocha sasa. Nikajitupa makejani nikatulia. The next day sikuishia shule coz ya mablanda ilitokea. Nikajifanya mgonjwa nikakaa hocha for one week
The next week mathe akadai tufike hosi nipimwe ikabidi nijifanye nimepona😂✌️. So nikaamua kurudi shule. Back to normal sasa. Nilikua wa kwanza class. Majamaa wakaanza kuingia then class kila mtu akaanza kuniangalia akicheka. Reagan akaingia pia akaanza kucheka. Debbie akaingia pia akicheka k**a wazimu😰. Sikuona Nyambura. So nikanyamazia tu hadi kaday kakasonga mos mos😅😅. Class teacher akaingia magethaa zake akaita register then kunifikia akasema nimfate. Kuishia staffroom nikapigwa punishment for absenteeism 🙄. Nikaosha choo za mamode then nikamop laboratory nne😭. Nikaishia jikoni nikaokota Mahindi ya getheri😂✊. Nikarudi staffroom kuambia mode nimemada hizo ma punishment. Nikatoka kufika kwa mlango napatana na Nyambura akiwa na budake na masa. Mama Nyambura kuniona akaanza kuropoka. "Eeeh ndo huyu kijana mwenyewe eeh ni huyu alikua na yeye kwa room ya Nyambura akiwa uchi". Mathe akanishika shingo nikapewa makofi kathaa😰hio day niliamka na bahati ya judas😒🙄. Class teacher akaniokolea tukaingishwa kwa princy. Kumbe hio rysto ilifika shule hizo maday nilikua hocha so Nyambura akalimwa suspension ya one week of which she was expected to return with her parents 😔.

Princy : Richard inasemekana ulipatwa kwa room ya Nyambura ukiwa uchi and Nyambura's parents said that u wanted to sleep with their daughter by force..that is a r**e case..mama si ni ukweli?
Mama Nyambura : Kabisa alikua huyu kijana akiwa hana manguo k**a mganga hata akagonga baba Nyambu akamvunja shingo.. Nyambura akatuambia alikua anamtaka kwa nguvu...
Me : No i can explain i was.....
Princy : Kijana nyamaza ama niite afande sai...enhee Nyambura kindly give us the details
Nyambura : richy is my classmate na hua ananitaka by force but mi hua namkataza. So hio siku alikam home kunitembelea then vile niliingia bedroom akanifata k**a ametoa nguo alafu aka...
Baba Nyambura : Hiyo ni attempt r**e kijana alale ndani.

Hapo nikapigwa msalaba mara nane msumari ⚒️ inchi kumi ndani😂. Ikabidi kila mse akufie dhambi zake sasa k**a fundi wa mbao. Nikatambua siri zote about the trap btn Reagan and Nyambura 🤙💯. Princy akaona inamake sense. Reagan na Nyambura wakabaki kwa kesi😂. Reagan akaitwa mi nikaambiwa niishie class. Kidogo naona Reagan akapita na wheelbarrow punishment imeanza official ✌️😂alicheza na moto mbaya moto ya Bunsen burner😂tha blue flame. Mchezo wa nipe nikupe😆. Nyambura nikaona naye na kagunia sijui aliambiwa avune ngano ya shule ama wimbi😂😂. So months propelled and finally tukadunda form two. Debbie never talked to me. Hata tukimeet kwa pavements za chuo alikua anachange bearing anachange direction k**a gari za video games need for speed manenoz
😆. Reagan akajipiga transfer akahama chuo nikapumua k**a exoz ya gari moshi 😂. Tho tulikua tumeachana na Debbie but sikutaka mse amsongee🤪. She was single and i was single too🙄. All of a sudden....T.B.C

Like, share, comment and invite friends tag them to like my page I'll appreciate 😂✌️. DR RICHY

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Gilgil?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Gilgil

Opening Hours

Monday 17:30 - 20:50
Tuesday 17:30 - 20:00
Wednesday 17:30 - 20:00
Thursday 17:30 - 21:10
Saturday 06:40 - 12:30
13:30 - 21:20
Sunday 10:30 - 21:34