Bukimo Ke
Live love and laugh
10/04/2026
Kulikuwa na kijana mmoja kutoka kijijini, jina lake ni Baraka. Alitoka kwa familia ya kawaida sana—hakuna mali, hakuna connections, just dreams kubwa sana.
Alipoitwa kujiunga na chuo kikuu, familia yake ilifurahi sana. Mama yake alimshika mkono akasema, “Mwanangu, hii ndiyo njia yako ya kubadilisha maisha yetu.” Baraka akaingia university akiwa na moyo wa matumaini… lakini reality ikamgonga haraka.
First semester ilianza vizuri, lakini pesa zikaanza kuisha. Helb ilichelewa, na nyumbani hali haikuwa nzuri. Mara nyingi alilala bila chakula, akinywa maji tu hostel akijidanganya, “Kesho itakuwa better.”
Classmates wake walikuwa wanaenda outings, wanavaa vizuri, wanakula canteen… yeye anabaki nyuma akisema, “Niko busy kusoma,” lakini ukweli ni hana hata 50 bob ya chai.
Friendship pia haikuwa rahisi. Alijaribu kufit in, lakini alihisi k**a anajilazimisha. Wengine walimcheka kwa kimya kimya—simple clothes, no flashy lifestyle. Slowly, akajitoa kwa watu… akawa mtu wa kukaa peke yake.
Lakini kitu kilichomuuma zaidi ilikuwa relationship.
Kulikuwa na msichana mmoja, Aisha. Alimpenda sana. Walikuwa wanasaidiana notes, wakicheka pamoja… for a moment, Baraka felt seen. Felt loved.
Lakini shida zikaanza.
Aisha alianza kubadilika. Alikuwa anachelewa kujibu texts, mara anasema “niko busy,” lakini Baraka anaona kwa status ako outings na wengine. One day akamwambia softly,
“Baraka, you’re a good guy… but I need someone ambaye anaweza match my life.”
Maneno hayo yalimuumiza sana. Hakusema kitu… alitabasamu tu akasema, “Naelewa.”
Lakini ndani yake, alihisi k**a amevunjika vipande.
Usiku huo alikaa kitandani, akitazama ceiling… machozi yakimtiririka.
“Maybe mimi si enough… maybe shida ni mimi,” alijisemea.
Lakini siku moja, akiwa library peke yake, alisoma quote moja:
“Sometimes life breaks you so you can rebuild stronger.”
Hapo ndipo kitu ilibadilika ndani yake.
Alianza kujituma polepole. Alikubali hali yake, akaanza side hustles ndogo ndogo..........
10/04/2026
good morning 🌞🌞
21/03/2026
kuna siku nikienda kumchukua sasa 🤣 🤣🤣
23/02/2026
Good morning GGMU ❤️❤️
21/02/2026
Kenya is sifunated and this sifunation
kamega was lit 🔥🔥
20/02/2026
nikienda Kakamega lazima nipite shamakhokho na Chavakali kweli 😜😜
GGMU ���
the boy is gonna shave his hair ��
07/02/2026
🔔 — Full Time
Manchester United 2-0 Tottenham Hotspur
29' 🟥 Romero
38' ⚽️ Mbeumo 🅰️ Mainoo
81' ⚽️ Fernandes 🅰️ Dalot
⛳️ 7:0 - 🟨 1:2 - 🟥 0:1
GGMU ��
Click here to claim your Sponsored Listing.