Sadiki Issa
Journaliste MAPYA UVIRA TV ,radio television LUKULA 101.3 FM DRC #CONGO 🇨🇩
04/06/2026
MAARUFU MJINI UVIRA
AMERUDI TENA MTU WA KU EAST
MUONEKANO MUPYA 🙌✍️
ame wambia watoto waji fiche.papa ame kuya
03/06/2026
Una fatiliaka izo michezo ukiwa wapi Kisha uniambiye mu
commentaires 👇👇👇👇
03/06/2026
HIYI ITA KULIZA 😭
MSANI APASHWI KUWA KALOMBA LOMBA , IVYO ANA TUZARAULISHA SISI WASANI WA KUBWA . AKUNA VYA ATARII APO K**A NI PESA TUNGE TOWA KIMIA KIMIA MZIKI WETU UNA LIPA NA TUNA PATA PESA ZA KUTOSHA. MAGONJWA KILOKO UNA LOMBA MUSAHADA 🤣
___________________
Ameongeya Ayo msani MR ALIMASI k**a kumushauria MSANI MWENZAKE AMBAYE BIRI DIVA AMBAYE KWASASA YUKO KU HÔPITAL NI MUGONJWA SANA ANA KOSA PESA ILI AENDELEYE NA MATUNZO 😥
SANTE YA MSANI DIVA AIKO SAWA ANAENDELEYA KULOMBA MUSAADA 😭😭 ATUNZIWI KWAKUKOSA PESA .
03/06/2026
INA UMIZA SANA🥲
MUNACHUNGA MTU AKUFE NJO MUANZE FANYA BUMUCHANGO AMBYENYE ABUNA MAHANA 🥲
Muigizaji Wa filam hapa mjini uvira SUZANA ameamuwa kuongeya ya moyoni Kuusu WASANI WA MZIKI UVIRA KUTO KUONESHA MOYO YA KUMUSAIDIYA MSANI AMBAYE KWASASA YUKO HOI MU HÔPITAL ANA KOSA PESA YA KULIPA HÔPITAL ILI ATUNZIWE NA PESA KIDO KIDO YA MATUMIZI APO KUOPITALI ANA LOMBA MUSAHADA ANA KOSA.
Ame commenty kwa kuongeya kwamba:
👉 Nini kilicho kuwasha n'a ww ni msani siumupe msaada munachungaka mtu akufe njo muanze fana bumichango bwenye habuna mahana.
_____________________
MUPAKA SASA TUME PATA TARIFA KWAMBA ALI YAKE AIKO SAWA DIVA ANA ITAJI MUSAHADA .
AKUNA MSANI AMBAYE AMESHA JITOKEZA KUTOWA MUSAHADA WAKE KWA DIVA.
Irene Suzana Mbuyu Abema Charles Brackson GK Visuel
02/06/2026
UVIRA, ALICHO KIONGEYA MSANI MALU KUUSU MSANI MWENZAKE KUKOSA PESA YA MATUNZO 😥😭 KIME WAUMIZA WENGI 😭
Soma alicho andika MALU SIMBA kwenye page yake 👇
Msani mpaka aanze kosa hâta pesa za dawa hâta k**a famille haina pesa yeye Hana hâta connaissance na watu kisha munamuita msani😂😂 uvira mziki iko nguvu kabisa ao tuseme tu SHADI WANNY anaweza kosa hâta 20$ yakumchangia msani mwenzake mwenye balifanyaka nae kazi sana 🤷🤷 ni k**a mie nisikie EZIO VOIC TZ ao YELLOW ASKEY anagonjwa mpaka akose pesa za dawa namie ni watu tumefanya nao kazi sinjo ajabu iyo sasa 🤷🤷🤷🤦 vraiment niuzuni sana kabisa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
02/06/2026
Msani mautiuti 😓
Ame kosa msaada 😭
Ina sadikika msanni ana week moja na nusu yupo hospitalini, ame lazwa.
Doctor ana dai, kwamba familia haina uwezo wa kumu nunulia dawa !
Ina ombwa kwa atakae guswa na hili ,basi amsadie
Wasani wenzake mpaka sasa hakuna alienda kumtiza
Kitu ambacho kina leta , hali nyingine, ya sinto fahamu.
01/06/2026
UVIRA KUMPOKEA, .
muheshimiwa meya wa mji wa uvira Hivi karibuni ata wasiri uvira
Muheshimiwa , kiza muhato , meya wa jiji .
Hali ya hafya yake ilikua sio nzuri ndipo alienda inchini jirani, baada ya hafya kuzirota,
Kwa sasa tayari harufu, ya ujio wake . Ume tanda mjini uvira
Meye wa jiji ina sadikika,kuwa hafya yake iko powa na muda sio mrefu ata kuwa UVIRA,
ili kurudi kuanza shugulizake zake za kikazi.
Ina ombwa , kwa viongozi wote wa serekali,
Services zote kumpa ulinzi mkalli.
01/06/2026
Tupo kwa sababu tukikua.🥰
Kabla hatuja kuwa tuli kuepo.
Na kabla hatuja kuepo tulikua 😀
30/05/2026
kazi zetu za wandishi habari ni ngumu sana . Ila ni nyepesi ukiwa na heshima, na uki jitambua kuwa wewe ni nani
Nili pata nafasi ya dakika tano . Kuongea na moja kati ya watu hatari sana
Ni K**ANDA ambaye ame pigana muda mrefu. Kwa kutetea udogo wa Congo.
Sio kitu kidogo kupiga naye story.
Tembelea ukurasa wetu wa MAPYA UVIRA
30/05/2026
Ne cherche pas à être aimé de tout le Monde.
Les vraies relations sur survivent aux moments difficiles
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.