Majani record studio

Majani record studio

Share

CEO_TRANSITED MRISHO BUSINESS management service car automobile CAR_JAPAN_CHIN_BUBAI_KOREA_DRC_TZ_RWANDA_UGANDA_ZAMBIA

18/01/2026

no comment please 🙏🏾 watu msiongeee sama 🇹🇿 MAGARI .millinaire 47 tv

01/10/2024

Unashindwaje Kuamini K**a Majani record studio Ni Moja Ya Wasani Wanao Weza Kushawishi Mashabiki Pindi Akiwa Na Jukwani✊Mpeni Mauwa Yake Jamani.

Neno Lako Moja Kwa

Followers Chaîne Youtube

https://youtu.be/4XS-xDZFyyo?si=_AirIVFtW4_dYq2w

Photos from Umbeya kwetu tv's post 25/09/2024

All follow is 🫰🏾Majani record studio Umbeya kwetu tvJicho la BubuLes motivés des Visionnaire Team Klm Maulid Kitenge Ayotv Tanzanite Tanzania Robinio Mundibu Umbea.com

Photos from Umbeya kwetu tv's post 25/09/2024
Nicholaus anasema akilala, akikaa peke yake anawakumbuka sana wazazi wake, anamuomba Mungu awapumzishe wazazi wake peponi😭😭. Huyu mtoto tangu apate ajali hajafanikiwa kufanyiwa matibabu, nyonga zimepishana akitembea dk 10 tu mfupa wa nyonga unatoka nje😭 gharama za matibabu kwa wote wawili ni mil 4,400,000 nawaomba huruma yenu jaman mwenye 500,1000 nawaomba tujitie kuwatoa hawa yatima kwenye haya maumivu

(0715609319 tigo pesa) 
 (0747300303 (m pesa) 
(068 324 8908 (airtel) 
GLADY 08/08/2024

Mungu wa sisi yatima ndio anajuwa ametutowa wapi na atatulea Vipi jamani huyu kijana pia yatima mwanzangu naona K**a ni Mimi hapo tu kwa sababu miaka yake hii hii ndio nilivyo achiwa na wazazi wangu 💔😭 hii nikitu ambacho uwa nakiona kukaaa kwangu milele na milele ila mungu Leo Katupa eshima hooo mungu wa yatima mungu wetu sisi uliona ni vema tusiwe karibu na upendo wawazazi wetu mujalie huyu kijana wafunguwe watu mioyo Yao wamusaidie pia Allahumaa Amin 🤲🏾🤲🏾🤲🏾😭😭😭

Nicholaus anasema akilala, akikaa peke yake anawakumbuka sana wazazi wake, anamuomba Mungu awapumzishe wazazi wake peponi😭😭. Huyu mtoto tangu apate ajali hajafanikiwa kufanyiwa matibabu, nyonga zimepishana akitembea dk 10 tu mfupa wa nyonga unatoka nje😭 gharama za matibabu kwa wote wawili ni mil 4,400,000 nawaomba huruma yenu jaman mwenye 500,1000 nawaomba tujitie kuwatoa hawa yatima kwenye haya maumivu (0715609319 tigo pesa) (0747300303 (m pesa) (068 324 8908 (airtel) GLADY

Telephone