All Musuc Updates
réalité
Intamba Muruganba
02/10/2026
KATI YA VIPAJI VIPYA VINAVYOKUJA KWA KASI KWENYE TASNIYA YA MUZIKI WA BURUNDI 🇧🇮, BASI UWEZI UKAKOSA KUTAJA JINA LA KIJANA UYU ALAN B
Nchini burundi muziki unaendelea kukua kwa kasi sana , Na uyu apa ni mmoja mwa vijana wapya wanaovutia macho na masikio ya wengi , ALAN B ni kijana mwenye kipaji kikubwa kutoka label ya Lamwembe Locomotive. Ana Umahiri wake katika uandishi wa mistari, utoaji wa sauti na ubunifu wa midundo unamfanya aonekane k**a miongoni mwa nyota wanaochipukia kwa nguvu mwaka huu.
Tunapendekeza uchukue muda wako kutembelea YouTube na kusikiliza ngoma yake mpya ili ujionee mwenyewe uwezo wake.
Baada ya kuisikiliza, rudi sehemu ya comment utuambie umeisikiaje na ni kipande gani kimekugusa zaidi.
gusa link kwa comment
https://youtu.be/yYBBTVxoqI0?si=xXkvMtGFoeGHw5Cl
02/09/2026
Alan B - Why (Official Music Video) 👇
https://youtu.be/yYBBTVxoqI0?si=xXkvMtGFoeGHw5Cl
#
12/27/2025
BOOOOOM Ababa mu carama,kanga,maramvya,kinama,kamenge,buterere,mutakura ntahandi woja gukesha le 31 Atari kuri DENDEN Muri carama III concert ni ABA 2000 Party izoba iyobowe na IKIBOY, ALA B, BUGA MAN, DANNY COOL, PETIT DANNY, MR LEE, nabandi.... Kwinjira namahera make cane 5k
Inkuru mbarirano iritwa niyo wiboneye
Murahawe ikaze muri benshi
Jose Chameleone Ivo ndivyo ilivyo mda huuu live kwenye show yake ya kwanza Bujumbura
🚨 Ikumbukwe kua kesho ndio muendelezo wa Show yake ya Pili huko mkoani
11/29/2025
Sat-B uko Niko ubuma bwifashe iyari iburayi muri
🤔Akajambo kamwe kuri we ❓
BARCELONA
😂😂👏😂
11/25/2025
Big Fizzo imbere Yuko ashika mu Burundi yahisemwo kugura Iphone 17 agiye mugitigiri c'abaririmvyi batarenga 3 babarundi bayitunze
✍️Nimba ubazi anandi babiri bandike muri commente
11/23/2025
Big Fizzo aonekana kwenye studio ya ya msani nguli Wa Tanzania 🇹🇿 Rayvanny
🚨Tutegeneye collaboration kutoka kwao ao Mzee wetu kaenda kumtembelea 😀😀
🤔Tupe maono yako ndugu shabiki ❓
11/23/2025
Big Fizzo na kigingi na mugiteramo mumahanga
Ahirwa Ottawa 🫡🫡 kubatahazi😌😌 muri Canada 🇨🇦
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Montreal, QC
H3B1A7